Mbolea hii inatumika katika mazao yote ya shamabani na bustanini ikiwemo matunda, mbogamboga na miti. Ina uwezo mkubwa wa kuongeza ukuaji na uimara wa mmea pia huongeza ukinzani hali ya mazingira, mashambulizi ya magonjwa na baadhi ya wadudua kwa kutengeeza upya sehemu za mimea zilizoharibika.
No | Virutubishi vilivyopo | Kiasi kwa asilimia | Maana kwa mimea |
1 |
Jumla ya nitrojeni (N), ikijumuisha:
|
11%
|
Huongeza uzalishaji wa chlorophyll, inasaidia katika usanifu wa chakula,inaufanya mmea kukua vizuri na afya nzuri. |
2 | Fosforasi (P2O5) | 10% | Ni muhimu sana kwenye uotaji wa mizizi ya mmea , ni kirutubisho muhimu sana katika upandaji wa mmea, ni kirutubisho kikuu kimoja wapo katika NPK na inahitajika kwa uwingi na mmea. |
3 | Potasiamu (K2O) | 12% | Usafirishaji wa maji,virutubisho na wanga,kazi za enzymes inaathiri protini,starch na ATP, uzalishaji wa ATP unaweza kuanzisha na kuongeza usanifishaji wa chakula cha mmea. |
4 | Sulfuri (SO3) | 6% | Inafanya kazi nyingi kwenye mimea,inatengeneza mfumo wa amino acid,protini na mafuta,utengenezaji wa chlorophyll,inasaidia katika uotaji wa nundu kwenye mizizi ya mikunde,inakuza na kuanzisha shughuri fulani za enzymes na vitamini. |
5 | Boroni (B) | 0.045% | Muhimu kwa ukuaji sahihi wa seli za mmea na tishu, na pia kwa ukuaji sahihi wa mbegu na ukuaji wa bud. |
6 | Shaba (Cu) EDTA chelate | 0.08% | Muhimu kwa michakato ya enzymatic na ukuaji wa mimea, pamoja na kulinda mimea kutokana na magonjwa na matatizo. |
7 | Chuma (Fe) EDTA chelate | 0.13% |
Muhimu kwa ajili ya uzalishaji wa klorofili, ambayo ni muhimu kwa mchakato wa photosynthesis. Ukosefu wa chuma husababisha chlorosis ya majani, ambayo husababisha ukuaji mbaya wa mmea. |
8 | Manganiziam (Mn) EDTA chelate | 0.16% | Muhimu kwa ajili ya uzalishaji wa klorofili na maendeleo sahihi ya mizizi. |
9 | Molibdenum (Mo) | 0.0018% | Muhimu kwa michakato ya kimetaboliki ya mimea na pia kwa kulinda mimea dhidi ya magonjwa na mafadhaiko. |
10 | Zinki (Zn) EDTA chelate | 0.013 |
Ni muhimu kwa ukuaji sahihi wa mizizi na kuota kwa mbegu. Upungufu wa zinki husababisha kupungua kwa mavuno na kudumaa kwa ukuaji wa mimea. |
11 | Silicone (SiO2) | Inasaidia mmea iukabiliana na kipindi kigumu kama uhaba wa maji na joto Kali,inachelewesha mmea kukauka,inasaidia mmea kujikinga na uhaba wa virutubisho vya micro na sumu. | |
12 | Kobalti (Co) | Ni kirutubisho kizuri kwa mimea mirefu,bila shaka kobalti ni muhimu kwenye mimea jamii ya mikunde kwa kuwa mikunde inahitaji kobalti kwaajili ya shughuri ya bakteria wanaovuta nitrojeni kwenye noduli za mizizi. |
Medali ya Dhahabu ya Polagra 2022
kwa energyMIx
mbolea ya kimiminika kizito yenye virutubisho vikubwa na vidogo
https://www.polagra-premiery.pl/en/news/gold-medals-of-the-mtp-group-polagra-premieres-2022-awarded/
energyMIx ina cheti kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA).
Mbolea za Agrami - chaguo bora kwa mimea yako.
AGRAMI AFRIKA COMPANY LIMITEDcopyright © 2020 - 2024 Agrami Afrika Co. Ltd
imeandaliwa na Idara ya Habari na mawasiliano (IT) JPIT LLC